iqna

IQNA

Uislamu na Elimu
EHRAN (IQNA) – Mafundisho ya kimaadili ya Uislamu yana lengo la kuelimisha, kufundisha na kuitakasa nafsi ya mwanadamu na kumsaidia kubadilika na kuelekea kwenye ukamilifu katika njia ya kumcha mwenyezi Mungu na kumtumikia Mwenyezi Mungu Mtukufu.
Habari ID: 3477710    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/11

TEHRAN (IQNA) – Jamii zote za wanadamu zimetafuta njia za kuwasaidia wahitaji kwa sababu kama pengo hili halitazibwa, kutakuwa na madhara ya kijamii.
Habari ID: 3477705    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/09

Mbinu ya Elimu ya Manabii; Ibrahim / 6
Kila mtu anaweza kufanya makosa au kutenda dhambi, Mwenyezi Mungu kupitia dini, ametoa wito kwa wanadamu kutubu na kutafuta msamaha ili kufidia dhambi na makosa yao.
Habari ID: 3477162    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/19

Uislamu na Elimu
TEHRAN (IQNA)- TEHRAN (IQNA) – Shirika la Kiislamu la Elimu, Sayansi na Utamaduni Duniani (ISESCO) linapanga kuanzisha mfuko kwa ajili ya kusaidia wasomi na watu mahiri katika ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3476288    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/22